Carused.jp by Carpaydiem

SALEOfa za muda mfupi

NewIngizo jipya

Hisa kwa USA watumiaji

Chini ya $1,000

Vani Maarufu

Malori Maarufu

Ofa Maalum

Tazama Zaidi

Top 20 Most Popular Used Cars

Lebo za Gari

Maoni ya Wateja

Tazama Zaidi
User Voice Image

Review onToyota Hiace Van

Gostei bastante ter feito negócio com vocês, recebi a viatura tal como descreveram na página e em perfeitas condições. Espero voltar a fazer negócio com vocês! Meu especial obrigado.

mzby Verified Customer
on Dec 12, 2025
User Voice Image

Review onHonda Fit

Easy to maintain and fuel efficiency

zmby Verified Customer
on Dec 12, 2025
User Voice Image

Review onToyota Harrier

DU CONFORT A MOINDRE COUT, carused.jp N°1

cdby Verified Customer
on Dec 12, 2025
User Voice Image

Review onMitsubishi Fuso Fighter

Un véhicule qui satisfait au-delà de ses capacités.

cdby Verified Customer
on Dec 12, 2025
User Voice Image

Review onToyota Allion

Carrl was receiving in a perfect condition thank you very much carusedjp keep it up

zmby Verified Customer
on Dec 11, 2025
User Voice Image

Review onToyota Noah

Wasn't bad but some parts are damaged and this is because of what I explained up

tzby Verified Customer
on Dec 11, 2025
User Voice Image

Review onToyota Voxy

Good car for a fàmily

biby Verified Customer
on Dec 11, 2025
User Voice Image

Review onToyota Hiace Regius

TRES TRES BON PRIX !!!!!!

cdby Verified Customer
on Dec 10, 2025

Habariza Hivi Punde

Tazama Zaidi

Agiza Magari ya Kijapan yaliyotumika kutoka Carpaydiem

Kwa nini Carpaydiem ndiyo njia bora ya kupata gari lako lijalo

  • Uchaguzi wa kipekee wa magari yaliyotumika ya Kijapani kutoka kwa Kundi la Toyota

    Tulianzisha ushirikiano wa mtaji na Toyota Tsusho Corporation, ambayo ni mshirika wa biashara wa Kikundi cha Toyota. Kwa kutumia mtandao wa kimataifa wa Toyota Tsusho, tunaweza kukuuzia magari yaliyotumika ya Kijapani kutoka kwa kikundi cha Toyota!
    Mbali na hilo, tuna zaidi ya magari 5,000 za kuchagua, ambayo hutolewa na washirika wetu wauzaji wa magari wa Kijapani na wamiliki wa magari binafsi, na zaidi ya magari 140,000 kila wiki kutoka mnadani!

  • Huduma za mawakala wa ndani

    Tuna "Mawakala wa ndani" kutoka nchi zaidi ya 10 ambao wanaweza kukusaidia sio tu kununua magari bali pia kupanga usafirishaji. Mawakala wetu wana uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika utoaji huduma za mauzo ya magari yaliotumika kutoka Japan. Tunajua kanuni za uingizaji na viwango vya kodi vya kila nchi kwa magari yanayoagizwa kutoka Japan.
    Kuagiza magari kutoka Japan kunaweza kuwa na changamoto zake, lakini unaweza kupata usaidizi kutoka kwa mawakala wetu wa ndani wakati wowote. Pia, maafisa wetu wa mauzo wanaweza kukusaidia kwa lugha unayozungumza iwe Kiingereza, Kifaransa, Kiswahili, Kihispania, Kireno, Kijerumani, Kirusi, na Kijapani.

  • Sisi ni wanachama wa JUMVEA.

    JUMVEA maana yake ni "Shirikisho la Wauzaji wa Magari ya Kutumika ya Japan" ambalo lilianzishwa tarehe 14 Septemba 1995. Lengo lake ni kukuza maendeleo bora ya sekta ya uuzaji na usafirishaji wa magari yaliotumika ya Kijapani kwa kuzuia miamala haramu kama vile magari yaliyoibwa. Ikiwa unatafuta mshirika wa kuaminika kuagizia magari kutoka Japan, Carused.jp inaweza kukidhi mahitaji yako yote.
    Kwa sababu tunathamini sana usalama wako, sisi ni wanachama wa JUMVEA ambayo inatufanya kutoa huduma salama na za kuaminika.

  • Ukaguzi wa Kitaalamu

    Tunayo utaratibu wa ukaguzi kabla ya usafirishaji ambao tunatekeleza kwa magari yote kutoka Japan. Tunaweza kusema kwa kujiamini kwamba kujitolea kwetu kudumisha ubora wa juu wa huduma zetu na mchakato wetu wa ukaguzi wa kina hauna upinzani. Daima tunamini kwamba kila gari tunalouza kwa wateja wetu lazima likaguliwe na mtaalamu. Kila gari la zamani linalouzwa kutoka Carused.jp linakaguliwa kitaalam na wataalamu wetu. Si magari tu ya zamani bali pia tunayo wataalamu wa ukaguzi wa malori ya zamani, mabasi, magari ya mizigo, mashine na vifaa vya ujenzi vya zamani.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)

Tazama Zaidi